Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda


Aiseee, si karibu nusu ya ardhi ya kilimo Kenya ni mali ya familia moja? Ndiyo maana kila siku ni kilio cha njaa tu.🤣
 
Aiseee, si karibu nusu ya ardhi ya kilimo Kenya ni mali ya familia moja???, ndiyo maana kila siku ni kilio cha njaa tu.[emoji1787]
Hizo acres ni za familia moja tu.

Bado zinazomilikiwa na wanasiasa wengine na zingine zinazomilikiwa na wazungu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha shobo mtoto wa kiume, kwani nijukumu letu sisi kama Tanzania kuwalisha nyie au nchi yoyote Africa? Kwani nyie hamna ardhi mlime? Kwanza hujawai sikia Tz tunalia njaa, EAC hii nyie Kenya ndo mna shida sasa sioni tatizo lolote sisi kuwa na chakula kingi kujitosheleza kama nchi na surplus kuwepo kama iyo inakuwasha jikune itapoa! Kama taifa letu Tanzania ina rain pattern kubwa, do you really think we don't know hahaha! All this vast open lands we have, you really think we don't know!

Just know we know everything about our country and that's why we don't talk about our resources the way you wish you could if you had them! Yani wakenya mna chekeshaga kudhani mwajua kila kitu, mtajua hamjua! LETA MADA ZINGINE POSITIVE ZA KUJENGA NA KUELIMISHA NA KUUNGANISHA ACHA SHOBO!
 
DRC ni kubwa kuliko Tanzania na inapokea mvua kama Tanzania, ina mito mingi kuliko Tanzania na ardhi yao yote ni rutuba lakini wanategemea Tanzania kwa chakula kama ninyi
DRC sababu inajulikaba,ila siku South Sudan ikiwa stable soko la Tzn kwenye Mazao mbalimbali litotea maana Kenya itageukia upande huo
 
Soko ipo tena kwa wingi. Hilo gunia la mahindi la kilogram 100 unayosema inaweza kuuzwa kwa Tsh 20,000 hapa Kenya inauzwa kwa Tsh 80,000 au zaidi. Pengine tatizo ni kwamba serikali yenu haitaki Wakulima wafaidike.
 
Tuibieni na mvua sasa,maana Kenya kwa wizi amjambo.
 
Ndugu yangu Tony tuache unafiki ,vyakula msimu huu ndo vingi sijapata shuhudia.Hii covid imeharibu issue ,mahindi kibao ,mpunga hapa sijapata mteja upo wakuzidi tu.
 
Jirani mbona ninyi mmejaliwa wanawake wabaya kwa sura na wababe lakini hatusemi? Tuwe tunavumiliana.
 
Soko ipo tena kwa wingi. Hilo gunia la mahindi la kilogram 100 unayosema inaweza kuuzwa kwa Tsh 20,000 hapa Kenya inauzwa kwa Tsh 100,000 au zaidi. Pengine tatizo ni kwamba serikali yenu haitaki Wakulima wafaidike.
Hakika.
Serikari ya TZ binafsi ndio inayowaangusha wakulima. Hairuhusu wakulima kuuza mazao yao nje ya nchi.
Haifungui mipaka ya biashara ya mazao ya chakula nje ya nchi.
Kama Kenya Gunia la mahindi linafika Tsh 100,000. Ni bei nzuri sana.
Bei ambayo ingefanya vijana wengi kurudi mashambani kufanya kazi.

Jambo hili linahitaji mjadala wa Kutaifa.
 
Acres zote izo utashangaa mabeberu wanalima maua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mjadala wa kitaifa kuhusu nini mkuu, wacha kusikiliza upuuzi wa wakenya, uwe unatumia akili yako sio kuwasikiliza wakenya, hao ni watu wa kudanganya kwa kila wanalosema. Serikali ya Kenya inanunua mahindi toka kwa wakulima kwa bei ya Kshs 25,000 kwa gunia la kilo 100, wakulima wao wanalalamika kwamba bei haiwalipi, wengine wanagoma kuuza mahindi yao, vipi unajaa upepo wakenya wakidanganya kwamba kwao bei ni Tsh 100,000?, katika maeneno kumi ya mkenya, chukua moja tu.
 
Kwani K.sh 25,000/
Ni sawa na T.shilingi ngapi ?
Huoni kuwa inazidi hiyo Tsh,100,000 aliyoisema huyo mkenya.
Halafu hapa tunajadiliana tu kama kubadilishana mawazo.
Wakenya ni Ndugu zetu hata kama baadhi yao hawana sifa nzuri.
 
Tatizo ni mentality za kishamba za kikomunist za CCM , yaani Tanzania ni nchi inayoongoza Kwa kuwa na vilaza , watu wenye mtindio WA ubongo , Kuongoza watanzania you don't have to be afraid of anything they are as good as dead cattles yaani maiti ,watanzania asilimia 80 ni maiti zinazotembea, ndio maana Kagame aliwahi sema angekuwa Tu na Bandari ya Dar Es Salaam Rwanda ingekuwa kama Singapore.
 
Kwani K.sh 25,000/
Ni sawa na T.shilingi ngapi ?
Huoni kuwa inazidi hiyo Tsh,100,000 aliyoisema huyo mkenya.
Halafu hapa tunajadiliana tu kama kubadilishana mawazo.
Wakenya ni Ndugu zetu hata kama baadhi yao hawana sifa nzuri.
Samahani, nilimaanisha 2500 = Tsh 50,000. Wakenya ni wapinzani wetu sio ndugu zetu, wao lengo lao ni kutaka kupaka matope Tanzania kwa namna yoyote. Katika hili lengo lao ni kutaka kuonyesha kwamba Tanzania haiwasaidii wakulima, wakati anajua wazi kwamba analozungumza kuhusu bei ya mahindi huko Kenya ni uzushi mtupu.
 
How can a stupid person like you dare to discuss any meaningful discussion, a country whose citizens still dying of hunger yearly at this century, a country whose people still live in stone age mentality of killing each other based on tribes, a country full of corruption and high rate of crime, Who can you tell anything to civilized country like Tanzania where people live in harmony, peace, live and free from tribalism and crime?
 
Duh... Aisee lakini mleta mada hata sehemu ya kulima sukuma wiki hana ila anaona poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…