Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini Tanzania haizalishi chakula kingi? Kama 100% ya nchi yenu inapokea mvua nilitegemea mlishe Africa nzima. Tatizo mumezembea sana.

Kenya huwa inapokea mvua kusini na magharibi mwa Kenya ila Kenya huwa inakosa kupokea mvua upande wa mashariki na kaskazini. Sudan inapokea mvua kidogo sana. Chini ya 10% ya ardhi ya Sudan inapokea mvua ilhali wanazalisha chakula kingi kutumia irrigation. Uganda wakati mwingine wana mvua na wakati mwingine hawana. Tazama Mwenyezi Mungu alivyowabariki na mvua katika 100% of your country.

Wiki ya Jan 6 hadi13

View attachment 1690441

Wiki ya Jan 12 hadi 19
View attachment 1690442

Wiki ya Jan 19 hadi 26
View attachment 1690443

Wiki ya Jan 26 hadi Feb 2
View attachment 1690444
Hsyo ni matokeo ya viongozi wetu kuifadhi mazingira na kutenga mbuga na misitu toka uhuru
 
Sababu maeneno mengi ya Tanzania bado ni pori, mengine ni National Parks...
 
Back
Top Bottom