Angalia jinsi Kocha Nabi atavyofukuzwa kazi Jumapili!

Kwahyo Kwa kutizama Tu mazoezi yao umekuja na hyo conclusion[emoji23]
 
Huu ujinga sijui nani anawadanganyaga?
 
Tafadhali anzisha Uzi wako halafu it'a watu Wenye akili mchambue soka. Huku utakutana na Mbulura washangiliaji wasiojua A wala Be.
 
Hata Yanga queens inawafunga vizuri tu, Simba haina kikosi cha kumsumbua Yanga.
 
Uongozi wa Yanga wanahesabu kama yako.. wakimkosa mechi ya Simba watamsubiri mechi na Club Afikan.. Kiufupi Professor Nabi anacheza ndani ya mtego.. Naye analijua hilo
 
Mgunda na Nabi wamekutana mara ngapi na nani anaongoza kwa kumfunga mwenzake?
 
Usifananisha simba na vitu vya ajabu kama utopolo. Hata malengo ni mbingu na ardhi. Wakati simba analenga kucheza nusu fainali yanga ana target group stage ameshashindwa kule kwa wababe labda akiomba ushauri kwa simba ndio atapewa mbinu za kuingia makundi huku kwa ligi ndogo
Utopolo wa hapahapa tuu no wonder wanatumia nguvu kuuuubwaa kuifunga simba
 
Mkuu usihangaike na ayo mabox ya umbumbuni labda akabebe wachawi wote wa Tanga ndo anaweza angalau kuambulia sare uyo mgunda wao mbele ya yanga
 
Hayo mazoezi walijipima na al hilal au mayele na mwamnyeto? [emoji28][emoji28]
 
Mpira ungekua nachezewa mdomoni Tanzania ingekua imeshachukua world-cup Zaid ya kumi
 
Afu kocha wa unyamani huja mpa sifa zake. Sema pale kocha anasimama gurdiola mnene nyiee balaa saana lita wakuta utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…