Wanasimbaaaaaaaa,
Hii ndio formula inaenda kumfukuzisha kazi Nabi jumapili hii. Kama intensity ya wachezaji wetu ikiwa juu kwa dk 90 mtaona wanavyopoteana!
Last game walipoteana Zoran akavuruga game mwenyewe!
Sasa angali hili chama uniambie Uto anachomokea wapi ......
1) Manula
2) Israel
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanuti
7) Okra
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Sakho
Benchi
Beno, Kennedy, Banda, Quattara, Mkude, Okwa, Boko, Kapama, Kyombo
Sub
Okra or Sakho pending on performance ampishe Banda.
Kama Uto waki switch kutumia winga zao (like last deby Zoran alivyopotea) tutatoa winga aingie Kennedy ili tucheze na back 3!
Uto wakichomoka hapa nimekaa paleeeeeee! Wanasimbaaaaaaaaa!