Angalia jinsi ndege isiyotumia rubani (drone) ikikatiza kwenye anga la Israel mpaka kwa Netanyahu!

Angalia jinsi ndege isiyotumia rubani (drone) ikikatiza kwenye anga la Israel mpaka kwa Netanyahu!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua??

Nyumbani kwa Netanyahu

Nb:Muda utasema!
 
Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua??
View attachment 3129725

Nyumbani kwa Netanyahu
View attachment 3129730

Nb:Muda utasema!
Hiyo haikua helikopita gunship, hiyo ni ya doria tu kutoa taarifa za uliza, ila hiyo ni ushara tosha kwamba Isreal wanaweza kufikiwa popote walipo......wanaogopa kuonyesha majerihu ndani ya nyumba wanaficha nini?
 
Uadui uhasama / CHuki/ Fitna / majunguuu ... ktk jamii hutoishi kwa amani kabsaa
 
Back
Top Bottom