Angalia kesho yako na siyo jana yako

Angalia kesho yako na siyo jana yako

Afro king

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
445
Reaction score
455
Usiiangalie "JANA"kwa "HASIRA" kisa maisha yalikuwa magum usiingalie "KESHO" kwa "UOGA"kisa ujui utakula nin bali itazame "LEO" kwa "HESHIMA" na "BUSARA" huku ukijipanga "KUSONGA" "MBELE" kwa kumtanguliza "MUNGU" kwa kila "JAMBO",

usiogope maneno ya wanaokusema vibaya maana maneno ni "HERUFI" tu zilizounganishwa na kupewa sauti, Lawama na maelezo mengi ni mali ya walioshindwa

lakini waliofaulu wana maneno mawili tu kuweka"MALENGO" na kuweka "JITIHADA", kumbuka maisha ni kama mayai ukiyabonyeza hayabonyei ila yakianguka ndiyo yamekwisha thaman yake
""Asubuh njema"
 
Maisha yana changamoto ambazo huwezi kuzikwepa

Cha mhimu ni kupambana usiku na mchana mkono uingie kinywani!

Over
 
Ukijua ile Kauli ya "Maisha ni vita"(Vita ya kimwili na kiroho) hutochukulia poa haya maisha.
 
Everyday is decision day, either you give up-lie down and die or get up and face the battle and match forward.
 
Back
Top Bottom