Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 445
- 455
Usiiangalie "JANA"kwa "HASIRA" kisa maisha yalikuwa magum usiingalie "KESHO" kwa "UOGA"kisa ujui utakula nin bali itazame "LEO" kwa "HESHIMA" na "BUSARA" huku ukijipanga "KUSONGA" "MBELE" kwa kumtanguliza "MUNGU" kwa kila "JAMBO",
usiogope maneno ya wanaokusema vibaya maana maneno ni "HERUFI" tu zilizounganishwa na kupewa sauti, Lawama na maelezo mengi ni mali ya walioshindwa
lakini waliofaulu wana maneno mawili tu kuweka"MALENGO" na kuweka "JITIHADA", kumbuka maisha ni kama mayai ukiyabonyeza hayabonyei ila yakianguka ndiyo yamekwisha thaman yake
""Asubuh njema"