Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!

Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!

Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!

Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
 
wamezidi ushoga na ufreemason hawa wamarekani, ila Mungu awasaidie na kuwaokoa kwa kweli. nakumbuka kuna mwaka jimbo fulani lilikuwa linaenda kuhalalisha ushoga, ilikuwa New Orleans. walipigwa na kimbunga hatari. ujinga ujinga kama huu ni chukizo kwa Mungu na hatuwezi kuwa na uhakika ila Florida hasa kwenye hizo beach kuna ufuska mwingi sana jimbo hilo.

sawa na waarabu, utamaduni wao wanapinga ushoga machoni ila sirini wanaita wanawake ni kwa ajili ya kuzaa ila wavulana ni for fun. unafiki mtupu ndio maana ukiona kuna mwarabu au mpemba mtaani watu wanalinda watoto wao. ukanda wa pwani wote ni ushoga na kuingilia wanawake kinyume, wala sio ajabu kwao.

nimeweka pande zote mbili ile kubalance, wale wanaojifanya wao ni wasafi kuliko wengine wajue ufuska huo upo zaidi kwao kuliko.
 
Hizo sababu zako ni za uchochoroni huko buza ndani ndani , zipo sababu za kijokrafia za hilo jimbo kukumbwa na hiyo dhuruba .
 
jiografia ipo kila sehemu na kila nchi. hata sodoma na gomora kulikuwa na geografia. hata kipindi cha nuhu walisema hivyo hivyo. ishi ukiamini sisi wanadamu tunaishi kwa neema ya Mungu, na tunapaswa kuishi kwa kufuata Neno la Mungu, ili Mungu awe pamoja nasi, tusiridhike tu na neema ya kunyeshewa mvua na jua la kila siku, kuna wakati wanadamu wenyewe wanakaribisha uharibifu hadi Mungu anaona hasira. we imagine dume zime linaolewa na mwanaume mwenzie, na lenyewe si ukute linapiga hadi miguno na kulia kwa mahaba hata sijui huwa inakuaje aisee huko kwenye vyumba vyao. ushetani mtupu.
 
Thibitisha huyo Mungu yupo, ulichoandika chote hicho ni maneno ya imani yako ambayo ulizaliwa ukairithi kwa wazazi wako tu ,hata ungezaliwa ukiwa mhindu ungekuja na mtazamo tofauti na huu na kuona upo sahihi 100%
 
kama unaamini Mungu hayupo, wewe ni MPUMBAVU. Zaburi 53:1, Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

. ndivyo Biblia inavyokuita. Biblia inatamka wazi kuwa ninyi mnaosema hakuna Mungu ni wapumbavu kabisa.
 
wamezidi ushoga na ufreemason hawa wamarekani, ila Mungu awasaidie na kuwaokoa kwa kweli. nakumbuka kuna mwaka jimbo fulani lilikuwa linaenda kuhalalisha ushoga, ilikuwa New Orleans. walipigwa na kimbunga hatari. ujinga ujinga kama huu ni chukizo kwa Mungu na hatuwezi kuwa na uhakika ila Florida hasa kwenye hizo beach kuna ufuska mwingi sana jimbo hilo.

sawa na waarabu, utamaduni wao wanapinga ushoga machoni ila sirini wanaita wanawake ni kwa ajili ya kuzaa ila wavulana ni for fun. unafiki mtupu ndio maana ukiona kuna mwarabu au mpemba mtaani watu wanalinda watoto wao. ukanda wa pwani wote ni ushoga na kuingilia wanawake kinyume, wala sio ajabu kwao.

nimeweka pande zote mbili ile kubalance, wale wanaojifanya wao ni wasafi kuliko wengine wajue ufuska huo upo zaidi kwao kuliko.
Nchi inahitaji elimu hii, utazan wew hapo hujawah kuufanya huo ufusika......

Hayo n majanga ya asili yalikuwepo na yatakuwepo hata kama ni kweli mengine huzidishwa na sababu za kibinadamu.
 
Hizo sababu zako ni za uchochoroni huko buza ndani ndani , zipo sababu za kijokrafia za hilo jimbo kukumbwa na hiyo dhuruba .
Kijana...achana na hizo mbuzi, hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Wamesahau Tsunami Indonesia 2004, Tetemeko la ardhi Bukoba, Mafuriko Dubai..maporomko ya udongo Uganda, na Oldonyo lengai na n.k...
 
We mpuuz kweli. Hapo Zanzibar ushoga upo miaka mbona hakuna kitu
huwa naamini kuna siku kimbunga kikubwa sana kitapiga Zanzibar kwa sababu ya ushoga na ufiraji kwa wanawake, Mombasa pia na Tanga. na Zanzibar ikipigwa sijui watakimbilia wapi, manake wanatuita wabara "chogo", na sisi tutawapokea tukiwaita wenye vichwa kama "bumunda".
 
Nchi inahitaji elimu hii, utazan wew hapo hujawah kuufanya huo ufusika......

Hayo n majanga ya asili yalikuwepo na yatakuwepo hata kama ni kweli mengine huzidishwa na sababu za kibinadamu.
sijawahi kufira mwanadamu yeyote tangu nizaliwe, namshukuru Mungu kwa hilo. ushoga ni dhambi ndugu,tuukemee sote.

kwa dhambi zingine kama za uzinzi na vyengine hapo Mungu ameshanirehemu.
 
Kijana...achana na hizo mbuzi, hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Wamesahau Tsunami Indonesia 2004, Tetemeko la ardhi Bukoba, Mafuriko Dubai..maporomko ya udongo Uganda, na Oldonyo lengai na n.k...
Hawa inabidi waeleweshwe kizazi cha namna hii ni mzigo mkubwa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom