uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Wakati wa nuhu watu walifirana mpaka wakapigwa na gharika ,sababu ya ushoga waoThibitisha matendo ya watu yanaweza kusababisha vipi kimbunga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa nuhu watu walifirana mpaka wakapigwa na gharika ,sababu ya ushoga waoThibitisha matendo ya watu yanaweza kusababisha vipi kimbunga?
Acha hizo mambo mkuu,utatusababishia majanga kama hayaWe mpuuz kweli. Hapo Zanzibar ushoga upo miaka mbona hakuna kitu
Ndio uthibitisho?Wakati wa nuhu watu walifirana mpaka wakapigwa na gharika ,sababu ya ushoga wao
Duh...Itakua oldonyo lengai watu walikua wanaenda kufiranah ndio.mana kukatokea.majanga.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba wale Wananchi wa Hanang ambao walikufa kwa kufukiwa na kifusi cha matope baada ya mlima Hanang kuporomoka ni kwa sababu wananchi hao walizidisha kufanya ushoga??Waache ushoga,majanga ya asili nayo yawaache
Hi,o stori ni za kusadikika na hazina uthibitisho wa kutaalamujiografia ipo kila sehemu na kila nchi. hata sodoma na gomora kulikuwa na geografia. hata kipindi cha nuhu walisema hivyo hivyo. ishi ukiamini sisi wanadamu tunaishi kwa neema ya Mungu, na tunapaswa kuishi kwa kufuata Neno la Mungu, ili Mungu awe pamoja nasi, tusiridhike tu na neema ya kunyeshewa mvua na jua la kila siku, kuna wakati wanadamu wenyewe wanakaribisha uharibifu hadi Mungu anaona hasira. we imagine dume zime linaolewa na mwanaume mwenzie, na lenyewe si ukute linapiga hadi miguno na kulia kwa mahaba hata sijui huwa inakuaje aisee huko kwenye vyumba vyao. ushetani mtupu.
Kila mtu na dhambi zake.wamezidi ushoga na ufreemason hawa wamarekani, ila Mungu awasaidie na kuwaokoa kwa kweli. nakumbuka kuna mwaka jimbo fulani lilikuwa linaenda kuhalalisha ushoga, ilikuwa New Orleans. walipigwa na kimbunga hatari. ujinga ujinga kama huu ni chukizo kwa Mungu na hatuwezi kuwa na uhakika ila Florida hasa kwenye hizo beach kuna ufuska mwingi sana jimbo hilo.
sawa na waarabu, utamaduni wao wanapinga ushoga machoni ila sirini wanaita wanawake ni kwa ajili ya kuzaa ila wavulana ni for fun. unafiki mtupu ndio maana ukiona kuna mwarabu au mpemba mtaani watu wanalinda watoto wao. ukanda wa pwani wote ni ushoga na kuingilia wanawake kinyume, wala sio ajabu kwao.
nimeweka pande zote mbili ile kubalance, wale wanaojifanya wao ni wasafi kuliko wengine wajue ufuska huo upo zaidi kwao kuliko.
Buza ndani ndani😂Hizo sababu zako ni za uchochoroni huko buza ndani ndani , zipo sababu za kijokrafia za hilo jimbo kukumbwa na hiyo dhuruba .
Hizi storms zilikuwepoe tangia dunia iumbwe na wala sio binadamu ndio chanzo, vitabu vitakatifu viananena tangia enzi za Nuhu haya mambo yalikuwepo.Hivi vimbunga ni matokeo ya ubishi wetu wanadamu dhidi ya mazingira
Uko sahihi mkuuWaache ushoga,majanga ya asili nayo yawaache