Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

Mtu aliyepandikiza akilini mwa watanzania wengi kudhani hadi majanga ya asili yanasababishwa na ushoga alifaulu sana kwenye hizo propaganda. Kule DRC volcano inavyolipuka huwa sababu pia ni ushoga? Tutumie akili kujenga hoja.
 
Na CCM je?
 
Hii bila.shaka.ni.Mental case.
 
Kijana...achana na hizo mbuzi, hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Wamesahau Tsunami Indonesia 2004, Tetemeko la ardhi Bukoba, Mafuriko Dubai..maporomko ya udongo Uganda, na Oldonyo lengai na n.k...
Itakua oldonyo lengai watu walikua wanaenda kufiranah ndio.mana kukatokea.majanga.
 
Saivi wanaitafuta elfu 50, saivi ngoma inacheza kwenye 42, bado kama maiti elfu 8 hivi, kila.siku wanaua mtu kama 50 hivi, sasa 50 hadi disemba wanaweza kusherekea mwaka mpya na elfu 50 net..
Ila kila siku utasikia Mungu ibarikiri Israel 😁😁 as if Israel ina haki ya kuua tofauti na hicho kimbunga ambacho ni majanga ya asili tu🤔
 
Sababu zako za kijinga. Ni mmoja wa wanaodhani kuwa Marekani kuna ushoga tu. Kila kitu mnatolea jawabu la ushoga tu.
 
Mtu aliyepandikiza akilini mwa watanzania wengi kudhani hadi majanga ya asili yanasababishwa na ushoga alifaulu sana kwenye hizo propaganda. Kule DRC volcano inavyolipuka huwa sababu pia ni ushoga? Tutumie akili kujenga hoja.
Apa huwa nakuelewa mno , tukiachana na zile habari za kifo ni kifo tu🤣
 
Eti watu wanakimbia kuokoa roho zao na sio fedha. Aliyekwambia watu wanakaa na pesa ndani kama nguo ni nani? Pesa ziko salama salimini acha oya oya.
 
Kobazi acha kabisa wana machaka mengi.
 
Hivi vimbunga ni matokeo ya ubishi wetu wanadamu dhidi ya mazingira
Ndio mkuu kwasababu tumekataa kumkabidhi maisha yetu kipenzi chetu cha Imaam Hussein Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.
 
Hapa ndo sini zinakua na ukakasi, yaani Mungu apige kimbunga jimbo kisa linaruhusi ushoga!! Na huku Capo Delgado raia wanauana, huko Congo na Sudani watu wanachinjana kama wanyama huko Gaza na Ukrain usiongelee kabisa.

Kwa mungu wako kuua ni sawa na sio chukizo na hawezi adhibu wauwaji ila ushoga ndo dhambi kubwa!!

Inabidi uwe na imani haswa kuamini na kuoanisha baadhi ya mambo.
 
mjadala umekuwa wa mambo ya kikobaz masjid gadafi
 
mjadala umekuwa wa mambo ya kikobaz masjid gadafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…