Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

Waache ushoga,majanga ya asili nayo yawaache
Kwa hiyo unataka kusema kwamba wale Wananchi wa Hanang ambao walikufa kwa kufukiwa na kifusi cha matope baada ya mlima Hanang kuporomoka ni kwa sababu wananchi hao walizidisha kufanya ushoga??
Na wale waliokufa kule Bukoba kutokana na tetemeko la Ardhi ni kwa sababu wananchi hao wa Bukoba walizidisha ushoga??

Hivi ujinga wa namna hii nyinyi wenzetu huwa mnausomea wapi??????Eenh!!
 
Hi,o stori ni za kusadikika na hazina uthibitisho wa kutaalamu
 
Kila mtu na dhambi zake.

Hata sisi huku uchawi,ushirikina,mauaji,utekaji hayo yote hatujazidi dhambi na sisi?

Mi naona hatucgekani
 
Ila frolida huwa ni balaa kwenye vimbunga na majanga ya asili
 
Mungu gani anashindwa kuzuia hicho kimbunga kisije?

Mungu gani anayeruhusu kimbunga kije kilete madhara, halafu ndio aanze kutafuta sifa za kijinga za kupewa maua yake?

Huyo Mungu ni Mungu mjinga sana na wala hajielewi.

Hafai kabisa na anastahili kufurushwa.
 
Hivi vimbunga ni matokeo ya ubishi wetu wanadamu dhidi ya mazingira
Hizi storms zilikuwepoe tangia dunia iumbwe na wala sio binadamu ndio chanzo, vitabu vitakatifu viananena tangia enzi za Nuhu haya mambo yalikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…