Angalia majibu anayopewa Mrisho Mpoto baada ya kupost Instagram kuwa amefiwa na mke wake

Siku Stive Nyerere akifiwa na mkewe aspost mtandaoni tafadhali.
Siku yule mzee wa "wazuri hawafi" na hao wazuri wenzake aliowataja wakikata moto naona itakuwa siku ya mapumziko kitaifa kabisa. Kuna watu walishanunua K-Vant na mikonyagi kusubiria 😂😂😂😂
 
Duh!, hii imenikumbusha wilaya fulani kule Kusini mwa Tz, baada ya kifo cha Mr Push up kutangazwa waligonga Nyagi usiku kucha aise.
Eti madai yao Mungu kaamua ugomvi aise.
 
Ukipita huko hebu kawaulize tena kama walikuwa sahihi kushangilia. Labda ilikuwa ni kwa ajili ya vijana wao Maembe na yule wa bao la mkono aka kubwa jinga!
 
Back
Top Bottom