cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Dah, comment yako imenichekesha kwakweli.
😂😂😂😂Dah, comment yako imenichekesha kwakweli.
Wanasema hawaamini mpaka leo kama Jiwe ametangulia kwenye makazi ya milele.Ukipita huko hebu kawaulize tena kama walikuwa sahihi kushangilia. Labda ilikuwa ni kwa ajili ya vijana wao Maembe na yule wa bao la mkono aka kubwa jinga!
Nimesa.majibu instagram nimramini watanzania wamejawa na hasira kwa kweli, ameshambiliwa bibaya mnoo, kwa kweli atulie tu kifo ni kifo asilete taharuki
Mbona mi natumia Samsung naiona?!Mbona hiyo account haipo huko X?