Angalia makomando wa Iran walivyo imara

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Naionea huruma Taifa teule la Israel nikiangalia hii picha ya makomando wa Iran.

Wako fit balaa. Hakuna yoyote jeshi Israel anaweza piga huo msamba.

Halafu huyo aliyesimama kushoto kavaa kanzu nyeusi (dera) unaambiwa anatembeza mkono usipime ni hatarii balaa anapiga ngumi za uhakika huyoo.

Israel kwishaa ni marekani tu ndo inampa kichwa.

 
Jwtz waneweza kuvunja blocks kwa kichwa, hayo mazoezi hapa kwetu hifanywa na mgambo sio jkt au jwtz.
 


Kupasua msamba ndio uimara wa komandoo? Hiyo hata wadada wa kucheza Baikoko wanapasua sana, hivi nyie watu vichwani mmebeba nini?
 
Taifa la Israel linapiganiwa na Mungu aliye hai hao Iran watachakazwa na mkono wa Mungu aliye hai
 
Heading imenishtua kidgo ila unaambiwa ili uwe Afsa wa IRGC ni lazima kujua kuchanua hivyo.
 
Drones hazina ngangari wala ngunguri.Zinalenga makomwe tu.
 
Naona unahangaiiikaaa kuichafua Iran.
Hilo halipingiki kuwa Iran ni taifa imara ambalo tokea 1979 limewekewa vikwazo vya kiuchumi lakini ni middle upper income country.
Licha ya vikwazo vyote Iran imeendelea katika teknolojia tofauti hususan ya kijeshi.

Utake USITAKE Israel ndio nchi inayolelewa na USA na UK.
Without USA and UK Israel is damn nothing,hata silaha kila mwaka zinakuwa imported from USA to Israel.
Hata vita ya Hamas Israel ilisaidiwa ADS hadi risasi kupambana na kikundi cha wanamgambo elfu 28.
 
Hahaha. Acha jamvi lichangamke wewee.
 
Kupasua msamba ndio uimara wa komandoo? Hiyo hata wadada wa kucheza Baikoko wanapasua sana, hivi nyie watu vichwani mmebeba nini?
hebu google neno 'sarcasm' ama kwa kiswahili 'kinaya' halafu hapo utaelewa alichoandika muanzisha uzi.
 
Sasa huyo si yuko anachezesha matako kama malaya wa kwenye vigodoro na baikoko huo ukomando uko wapi hapo 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…