Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mbona linaonekana kama bwabwa.Naionea huruma Taifa teule la Israel nikiangalia hii picha ya makomando wa Iran.
Wako fit balaa. Hakuna yoyote jeshi Israel anaweza piga huo msamba.
Halafu huyo aliyesimama kushoto kavaa kanzu nyeusi (dera) unaambiwa anatembeza mkono usipime ni hatarii balaa anapiga ngumi za uhakika huyoo.
Israel kwishaa ni marekani tu ndo inampa kichwa.
View attachment 3060359