Angalia makomando wa Iran walivyo imara

Hawa ndio makamanda wa ukweli, na hawa ndio watakuwa mstari wa mbele kulipigania taifa teule la Israel, hao Wairan wahuni tu!
 
We unaweza kufanya hivyo? Mimi nashangaa mnawacheka wa Iran uliwahi ona jeshi la Iran wanavaa Pampers kama wale mashoga zenu.
 
Mkuu samahani umesahau kuhusu imamu wetu why?
Hahaha Asee asante kunikumbusha nijifungie nikaliee halafu nirudi.

Usifanye mchezo na Tawfiq wewe leo tunayo kwasababu ya kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein A.S

Allah amfanyie wepes na ampe kauli thabeet kipenzi chetu.
 
Tumuombee sana Imam Hussein
 
Wengi huchambua mambo ya kimedani kutokana na wanachoona kwa macho yao au based on propaganda. Ila ushauri wangu mdogo tu ni kwamba kama si mwanamedani mambo ya mitafaruku duniani itakuwia vigumu sana kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…