Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Ninachosikitika atakama umesainiwa 1991 ila viwango vyake hatujavifikia sisi tuliosaini 2023 yaaani tuseme kwamba sie tuko nyuma sana kama mkataba huu unaweza tumika kucalculate calendar yetu basi tuko 1882
lakini unona kuwa hakuna upande uliouza uhuru wake , kudanganywa, kunyonywa kama wa kwetu in short umetoa wajibu na haki pande zote.
 
......wanasheria wetu walikwama wapi.... Nothing Like That !!!
Hujui kukwama?

angalia matumizi yake (nimejisikia nina wajibu kukuelimisha, short of that I would have ignored and blocked you)


 
Watu wengine humu JF usibishane nao, just ignore them
 
Kwaiyo tunaotetea, tunatetea kwa mujibu sheria yetu inavyotaka.
Exactly, mkataba ilibidi u abide by our national lws, kama hawataki hilo wangeli waacha. lakini kwa rushwa ndiyo mana wakasaini hili zimwi
 
Mbona imefanana tu na huu. Japo umesema muda ni miaka 20 hata huu wetu hicho kinarekebishika kiufupi lugha ni ile ile na huu wet
Kwa hiyo katika akili yako, unaona wazi kabisa huu mkataba wetu ulitengenezwa ili ukarekebishwe?
Hizi ni akili za wapi hizi?
Umetoa povu lote lile kusifia kipande hicho cha mahakama ya nje, halafu unajifanya hicho cha muda ilikuwa kazi kubwa sana kwa wanasheria kukiwekea maanani wakijua kutafanyika maerkebisho!
Hopeless Kabisa!
 
4. Huu hauna ma - complications ya kimitego tego kama vile instrument of full powers na Saini za ajabu ajabu. Huu wa jamaa hawa uko simple and clear na hauna vimitego vya ajabu ajabu vyenye viashiria vya hila na ulaghai..
Sure hapa ndipo umegonga penyewe. hauna mitego ya kijinga kuukandamiza upande mmoja!
 
Madhara yake yatakuwa makubwa kwa CCM, mwaka 2025 haitakuwa rahisi kwao kushinda uchaguzi mkuu. Huu ndiyo ukweli, ccm imeamua kujimaliza (committee suicide) yenyewe. Wahenga walisema ngoma ikilia sana hupasuka yenyewe. Hatupendi hili litokee.
Na wewe hili unaliona?

Basi hapa tupo pamoja sana, isipokuwa kwenye hiyo "committee", lakini naelewa ulicholenga.

Kwa hili la Bandari, kwa vyovyote na itakavyokuwa, shukrani nyingi wanazistahili waliowezesha kazi hii muhimu ya kuwafungua macho waTanzania kuhusu chama hiki walichokilea kwa muda mrefu sana.

Samia na Kinana hata wafanye uchawi wa namna gani, safari hii CCM haiponi.
 
Ninachosikitika atakama umesainiwa 1991 ila viwango vyake hatujavifikia sisi tuliosaini 2023 yaaani tuseme kwamba sie tuko nyuma sana kama mkataba huu unaweza tumika kucalculate calendar yetu basi tuko 1882
Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimami na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa mwenzake!
 
Kna nchi moja imelaqnika kitambo sana,
I Inajiendea tu

Ova
 
Kuna wengine wanapenda kupigwa kama wanawake wa kabila ambazo bila kupigwa anasema mume wangu hanipendi.
 
Shida imesemwa lugha na njaa tunaingia kwenye negotiate tukiwa omba omba
 
Unashika nini??
 
Halafu mahakama kuu Mbeya na akina Assad wanakuambia uko sawa kabisa[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona haukusainiwa na Dubai, wa CCM umesainiwa na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…