Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Inawezekana Wazungu ni binadamu wa juu kabisa katika evolution.
 
Everybody knows that, lakini hiyo ni discretion yenu! Mnaweza kuamua iwe ndani ya host country, SI SHURUTI MUENDE NJE. Usichanganye mambo! Umesoma mkataba niliouweka hapo ?
Haya yote unayoandika ni kwa sababu mkataba huu wa DP World umeonekana hadharani.

Umeshawahi kuhangaika kutafuta IGA nyingine nyingi ambazo Tanzania imeingia na mataifa mengine na kuziona zilivyo?.
 
Haya yote unayoandika ni kwa sababu mkataba huu wa DP World umeonekana hadharani.

Umeshawahi kuhangaika kutafuta IGA nyingine nyingi ambazo Tanzania imeingia na mataifa mengine na kuziona zilivyo?.
what do you want to establish?
 
Mimi nimependa pale kwenye "Duration and termination" ni 20 years.Ila sisi wa kwatu ni mpaka Bahari na Maziwa vikauke!
 
Unazungumzia BIT ya Sweden na UAE ya 1999?? Jiulize kwa nini hawakufanya BIT?? Sio kama hawawezi wanajua sababu kwani BIT ni mikataba ya haki kwa pande zote mbili na hapa ni dhuluma kwa upande mmoja
 
Hapa ndipo professor wenu anaonekana hana akili, sasa kwenye IGA imeandikwa tayari mkataba hautovunjika kwa namna yoyote ile, alafu kwenye HGA uweke uvunjike, ukitokea mgongano kipi kinasikilizwa ?
 
Hapa ndipo professor wenu anaonekana hana akili, sasa kwenye IGA imeandikwa tayari mkataba hautovunjika kwa namna yoyote ile, alafu kwenye HGA uweke uvunjike, ukitokea mgongano kipi kinasikilizwa ?
Itakayosikilizwa ni IGA maana HGA inaongozwa na IGA. Ni sawa na kutunga sheria ambayo inakinzana na Katiba, sheria inakuwa batili
 
Everybody knows that, lakini hiyo ni discretion yenu! Mnaweza kuamua iwe ndani ya host country, SI SHURUTI MUENDE NJE. Usichanganye mambo! Umesoma mkataba niliouweka hapo ?
Huyu 'jamaa' 'Steven Joel Ntamusana' ni tapeli.
Kawekeza sana kwenye mkataba huu kiasi kwamba akili zimemruka kabisa kichwani.
Huyu atakuwa ni Hamza Johari mwenyewe, au kundi lile lile lililosimamia hujuma yote toka mwanzo hadi mwisho.

Ona sasa walivyomwingiza mama yao matatani!
Hawakutegemea kabisa kwamba uitikio wa watu kwenye swala hili ungefikia huku ulipo sasa.
 
Itakayosikilizwa ni IGA maana HGA inaongozwa na IGA. Ni sawa na kutunga sheria ambayo inakinzana na Katiba, sheria inakuwa batili
Ndo upopoma wa yule Propesa maana sio professor, alianza kuwatoa watu akili kumbe mwenyewe hamnazo
 
Kwa sababu serikali ya western Europa au Marekani haikuruhusu wewe kama raia wao kwenda kuwa tapeli nchi yeyote duniani kufanya hivyo utawajibika nchini kwako ndio sababu serikali nyingi zikaamua kuweka BIT ambayo inafuata Viena treaty ili wasilete manowari zao na kuvamia nchi inayofanya ushenzi
 
Tumeshindwa hata kupenyeza wawekezaji wetu wa mnyama mbuzi kupeleka nyama UAE bila kuelezea mazao mengine kama parachichi, matofali ya dhahabu, mawe ya almasi, mazao ya matunda n.k

ASAS na wafugaji wengine nao wangependa kutetea mazao ya nyama na mifugo hai kuuzwa UAE

Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Hamza ni mzalendo aliyerithiwa na awamu ya Samia baada ya kufanya kazi nzito na ya kizalendo ya kufufua sekta nzima ya anga kwa miaka mitano yote ya hayati JPM.

Huo unaodhani ni mwitikio wa watu ni uelewa kuwa mdogo wa masuala haya ya kisheria. Pole sana Kalamu kwani maumivu unayoyapata sio madogo.
 
kweli mkuu nilimuona mtanzania mmoja jina lake sijui shjiv au jivShi? badala ya kuwatafuta akina mihambope wamfafanulie yeye akabaki anawasikiliza wanasiasa wamfafanulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…