Angalia mwenyewe kosi la Yanga na kosi la Simba, utaamua mwenyewe uende uwanjani au upotezee

Uyo debora ni mwanaume au mwanamke?
 
Kocha anampenda Max hawezi muweka benchi. Max anafanya kila kitu uwanjani tofauti na hao wengine.
Huyu jamaa yupo kila eneeo uwanjani, kwenye ulinzi yupo na kwenye ushambuliaji yupo. Ni aina ya wachezaji wanaopendwa na Gamondi, wachezaji wanaofanya kazi zaidi ya moja uwanjani.
 
Ligi ianze, sisi Yanga yule my wetu tutampiga 7 ndani 7 nje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kikosi cha simba almost kina wachezaji wapya so nimapema ku judge kwa sasa
 
 
Hicho kikosi cha Simba labda wakashiriki Umiseta na umitashumta. Msimu huu utakuwa mgumu sana kwao wataponea lile kombe la kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…