Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

Shopping ingekuwa Take away 🤣
Travel ni sawa… alcohol wamekuonea.

Ila mimi wamedanganya…
Take away and through away after use...

Travel ni kweli, siku tutasafiri wote...

Alcohol yeah nasingiziwa...

Ila wewe ni Friends ni kweli kabisa, upo humble sana, too much mkarimu...hehehhe...
Alcohol hawajakuone ni kweli na ukipiga unanjijua mwenyewe...
 
Hahaha Okay!!

Traveling niko na principal yangu 1, naona kabisa haitowezekana sababu ya juu sana. 🤣

Too much mkarimu!!?? Si unajua lakini too much of anything is harmful 🙄
Utundu nau update soon!

Mie huyo? 🤣🤣🤣🙌
 
Juu sana isikutishe, utaweka mto...

Endela kua humble hivyo hivyo inapendeza...

Utundu unao na huwezi kuuacha, ndiyo maana mambo yako nakuchia mwenyewe...
 
Back
Top Bottom