Angalia Picha hii halafu toa maoni yako

Angalia Picha hii halafu toa maoni yako

Huu ni mwaka wa kumalizimalizia, tutayaona mengi yakiwa kama yanafikia mwishoni hivi, naomba ninukuliwe.
 
Wakuu jay melody katoa nyimbo mpya inaitwa turudiane bonge la dude wakuu...
 
Na sasa imemfanya Samia ajipitishe kugombea urais tofauti na matakwa ya kikatiba
Hapo aliboa sana, wangemruhusu Luhaga Mpina na wengine wachukue fomu ili wamchallenge Samia.

Mpina anakubalika na Wananchi lakini Lissu anakubalika zaidi.
 
Back
Top Bottom