4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Ccm wanaenda ingia kwenye vitabu vya kumbukumbu vya Dunia wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zee la machozi ya furahaLucas Ndio nani?
Màra hii umemmiss mwenyewe! Naona unampost kiaina.
Vipi kuhusu Wassira?Màra hii umemmiss mwenyewe! Naona unampost kiaina.
Ninamuona mke wa JK😳
Hamna lolote mambo ni yaleyake tuHuu mwaka ni mwisho wa mengi kwa sababu kinumerolojia unatawaliwa na namba tisa. Namba ambayo kwa kweli ni kumalizia Ili kuanza upya.
Mimi siyo mnajimu na wala siyo nabii ila mwaka huu tutayaona mengi yakifikia mwisho wake na mwaka 2026 tutaanza upya vitu vingi sana.
Mwakani ni mwaka wa utawala, tutayaona mengi mapya au yakianza upya katika tawala zetu.
Muda utasema, ninukuu nipo hapaHamna lolote mambo ni yaleyake tu
Wassira na timu yake wataangukia pua .Vipi kuhusu Wassira?
Zi si iz bongo bwaaànaaa.Yawengine waachienii.
Mzee wangu Wasira naomba tupitshe mchango twende kumuona , mods ,tupe utaratibuWassira na timu yake wataangukia pua .