Kama kawaida yako! Ukweli ukute hukauki kwa mwamposaLombana kwa faida ya afya yako ya akili na mwili 😋🍑🍆
Kama kawaida yako! Ukweli ukute hukauki kwa mwamposaLombana kwa faida ya afya yako ya akili na mwili 😋🍑🍆
Mimi sio muumini wa mwamposaKama kawaida yako! Ukweli ukute hukauki kwa mwamposa
ngoja Seran aje agongelee msumari 😋Lombana kwa faida ya afya yako ya akili na mwili 😋🍑🍆
sasa usipojitoa ufahamu hapa si utakufa kwa presha mpaka mafukara wa kutupa wanaanzisha nyuzi za kuomba ushauri wa mabilioni, humu ni kujifyatua tu mengine labda uyatake mwenyewe!Tatizo la JF, wengi wanajitoa ufahamu ambao katika hali halisi sivyo alivyo. Mwingine atajifanya changu wakati ni sister wa Kiroma. Ila siku zinasogea. ShesRise_1 anadai tusiache kulombana hapa JF; Pengine si ajabu ukakuta ni Mlokole wa kwa kakobe etc. Siku zinasonga
kivipi tena kijana?ngoja Seran aje agongelee msumari 😋
Unasema Ukwelisasa usipojitoa ufahamu hapa si utakufa kwa presha mpaka mafukara wa kutupa wanaanzisha nyuzi za kuomba ushauri wa mabilioni, humu ni kujifyatua tu mengine labda uyatake mwenyewe!
Dawa nzuri Sana ya kutapika hapo huwezi vomit ata kidogo kama majani yake ukichanganya kwenye mboganasikia ni dawa, kwani kuna shida gani mkuu?
😇😇😇kivipi tena kijana?
Hahaha.. Sema unajua kutuvuruga.naipatajepataje?![]()
Atakuwa mshirika ni magwanda tuu!Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣
View attachment 3597596
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo cha bangi
Hahaha kwanini mkui?Hahaha.. Sema unajua kutuvuruga.
Hahaha mlokole wapi !?Tatizo la JF, wengi wanajitoa ufahamu ambao katika hali halisi sivyo alivyo. Mwingine atajifanya changu wakati ni sister wa Kiroma. Ila siku zinasogea. ShesRise_1 anadai tusiache kulombana hapa JF; Pengine si ajabu ukakuta ni Mlokole wa kwa kakobe etc. Siku zinasonga
Shenziiii we kijana mimi ni church girl zile thread ni chai😊Hahaha mlokole wapi !?
Kwa zile thread inaonekana kabisa na master wa hizo kazi Tena ni Sensei kabisaaa 😀😀😄
😄😄😄Church girl hapeani utamu !?Shenziiii we kijana mimi ni church girl zile thread ni chai😊
Sema Masjid girl!Shenziiii we kijana mimi ni church girl zile thread ni chai😊
Steem ya mjaniAnavuta huyo so kasimama hapo makusudi ili apate steam