ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Masjid girl š¤Sema Masjid girl!
Masjid girl š¤Sema Masjid girl!
BarikiwaMasjid girl š¤
AmenBarikiwa
Lombana kwa faida ya afya yako ya akili na mwili
š¤£š¤£š¤£š¤£Anavuta huyo so kasimama hapo makusudi ili apate steam
Tatizo akitoka hapo anaanza kugonga watu virugu kwa kivuli cha sare ya PolisiMuache apate stimu aingie sayari yake. Chain of command ngumu kuitekeleza ukiwa na akili ya kibinadamu
Hiyo kitu ni Tamu we acha tuWakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoaš¤£š¤£š¤£
View attachment 3597596
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo cha bangi
Mkuu ulikuwa unakaa pale Madawa? Polisi KurasiniUmenikumbusha rafiki yangu afande...alikua anakuja na ndumu toka kituoni tuvute
Walizokamata zile.
Sitaki ugomvi na mtuā¦.Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoaš¤£š¤£š¤£
View attachment 3597596
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo cha bangi
Ulikuwepo?Ni angle tu ya mpiga picha, poti yupo nyuma ya moshi sio kwenye moshi
Ndio unaweza kutumia bangi kama tiba.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji851] huwa nasikiaga stori tu, baadhi yao wanatumia !