Angalia Polisi anavyo simama kwenye Moshi wa Bangi wala hapigi chafya, eti ni Ukakanavu

sasa usipojitoa ufahamu hapa si utakufa kwa presha mpaka mafukara wa kutupa wanaanzisha nyuzi za kuomba ushauri wa mabilioni, humu ni kujifyatua tu mengine labda uyatake mwenyewe!
 
Hiyo ya kuchoma ekari ya ganja ni hasara kubwa kwa taifa
kwaninii polisi wakikuta madini shambani kwako hawayachomi moto?

Huyo polisi ni mwamba!
 
Atakuwa mshirika ni magwanda tuu!
 
Hahaha mlokole wapi !?

Kwa zile thread inaonekana kabisa ni master wa hizo kazi Tena ni Sensei kabisaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„
 
Shenziiii we kijana mimi ni church girl zile thread ni chai😊
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Church girl hapeani utamu !?

Church anajua mpaka kuweka mbupu kwenye kisahani Cha chai !!! πŸ˜„πŸ˜„

Church girl wewe nakugawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…