Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

Joined
Sep 17, 2021
Posts
39
Reaction score
84
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.

Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?

MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.

Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.

FNWV9OTX0BIIZUA.jpg
 
View attachment 2178833
Kumbe majamaa yanachimba mpaka dhahabu
 
Ninawasiwasi na takwim zako
Hii ipo kundi gani tukiangalia kwenye takwim zako?
Screenshot_20220407-110216_Samsung%20Internet.jpg
 
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.

Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?

MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.

Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.

View attachment 2178833

Tanzania haina Rais ina kivuli cha Rais inafahamika na ndiyo hivo
 
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.

Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?

MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.

Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.

View attachment 2178833
Umekuja kumtetea
 
Acha uchawa we kenge namatozo mnayo yatoa na kurudisha Putin ndio kasababisha
 
Ilitakiwa achukue hatua, kama vile kuongeza ruzuku na kupunguza tozo, ili maumivu yasiwe makubwa, lakini hajafanya chochote, maana ya uongozi ni kuchukua hatua panapotokea changamoto kama hizo, sio kuacha tu mambo yajiendee yenyewe
 
Kwan Sisi Tanzania tuna bifu Na urusi mpaka watupandishie Bei?
 
Ilitakiwa achukue hatua, kama vile kuongeza ruzuku na kupunguza tozo, ili maumivu yasiwe makubwa, lakini hajafanya chochote, maana ya uongozi ni kuchukua hatua panapotokea changamoto kama hizo, sio kuacha tu mambo yajiendee yenyewe

Free fall object no intervetion
 
kwani kipindi cha korona nchi zote zilifunga mipaka lakini mbona vitu nchini havikuwa juu
 
Back
Top Bottom