Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Kumbe majamaa yanachimba mpaka dhahabuHizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.
View attachment 2178833
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.
View attachment 2178833
Umekuja kumteteaHizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.
View attachment 2178833
Acha uchawa we kenge namatozo mnayo yatoa na kurudisha Putin ndio kasababishaHizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo dunia nzima ingekuwa inaandamana saa hizi kumuambia Samia apunguze bei, maana mfumuko wa bei uko hivyo kila pembe ya dunia.
View attachment 2178833
Ilitakiwa achukue hatua, kama vile kuongeza ruzuku na kupunguza tozo, ili maumivu yasiwe makubwa, lakini hajafanya chochote, maana ya uongozi ni kuchukua hatua panapotokea changamoto kama hizo, sio kuacha tu mambo yajiendee yenyewe