Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
- Elimu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya siasa na utawala wa umma.
- Nimefanya kazi sekta binafsi shuleni, kampuni, shirika lisilo la kiserikali
- Huko nimepata uzoefu wa kazi mbalimbali kama ifuatavyo.
- Naweza kuandaa na kuandika project proposal
- Kuandika business plan/proposal
- Kuandaa na kuandika project profile
- Kuandika Company profile
- Matumizi mazuri ya vifaa vya kazi kama computer, printer, photocopy machine.
- Customer care
- Kuandaa na kuandika reports
- Administration issues
KAZI ZINGINE NAZOFANYA BINAFSI
* Kuandika na kuandaa makala za dini, michezo nk. - Kusajiria watu jina biashara BRELA
- Kusajilia watu kampuni
- Shughuri zote za kiserikali mtandaoni kama za BRELA, RITA, HESLB, TANESCO nk.
- Kufundisha baadhi ya masomo ya arts.
Mtu anaweza sema why nisifungue ofisi jibu sina vitendea kazi natumiaga vya ofisini. Nimepiga hesabu ili kupata vitendea kazi natakiwa kuwa na shs 2.5