Siyo kweli, hiyo imepigwa Magharibi ya mlima Kilimanjaro
Wanatumia fursa
Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro!Ukiwa Kenya mlima Kilimanjaro unaonekana " vizuri " zaidi!
Utaupandaje wakati uko Tanzania?!!Ukiwa Kenya huwezi kuupanda mlima Kilimanjaro!
Ndiyo sababu nikasema elimu ndogo ona sasa unathibitisha mwenyewe, angalau ungesoma mpaka la sita jografia ingekusaidia kujua kuwa mlima Kilimanjaro uko mpakani mwa Tanzania na Kenya hivyo lazima utaonekana upande wa Kenya.Kuona mlima hakuna uhusiano na elimu yangu; unaonyesha wewe una elimu ndogo kiasi kuwa hata hujui maana ya elimu.