Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

Tanzanie inapokea watalii takriban 1 million kila mwaka..je Rwanda ana host watalii wangapi.naomba nisaidiwe
 
Hakuna cha kujifunza. Like you said, Rwanda ni ndogo mno huwezi kujifunzia.
 
Rwanda inaongozwa na nchi za magaribi !
Elewa maana ya puppet state

Kuna media flan za marekani kila siku kusafisha rwanda kila muda had nilidhani ni media za rwanda !!

kwene utaliii wanaweza kufanya watu wao waje nchini kwako au wasije ni vile watavokupamba au kukuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…