Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Unaongelea nchi yenye 1.42+ billion people, ushawahi jiuliza wako bize kiasi gani..?? Ushawah jiuliza muingiliano wa majiji yao (ingia toka) upo bize kiasi gani..??

Ukipata jibu ndio utajua kwanini wanamiliki madude yote hayo
Tatizo sisi hata mwendokasi tu imetushinda buda......
Kwa hali yetu ya uchumi na idadi ya watu Dar mwendo kasi ingekua suluhisho zuri tu kwa kiasi chake. Lakini ndo hivyo hovyo na hapo bado ya mbagala.

Madogo yanatushinda makubwa tutaweza?
 
Watz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumu
Swali zuri ingekuwa zinaibwa ngapi kila mwaka??? Kila ripoti ya CAG ikitoka ni wizi tu umejaa, so hata kodi zitolewe kiasi gani na tobo la wizi litatanuka tu so wadhibiti ubadhirifu wa kilichopo tuone tutafika wapi
 
Unajua GDP ya China?
Kwahiyo kujua GDP ya China ndio hatimiliki ya sisi kujiona tuko sawa kumiliki treni moja la umeme.? Panua akili yako boy, je tunastahili kuwa na GDP tuliyonayo baada ya miaka yote hii tangia tupate uhuru? How many countries were they at per with Tanzania in 1970's but now they are very far and the gap of development can't be fixed? Tanzania been and always will be lagging behind them sheinzyyyy.......
 
Watz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumu
Yaani ulipe kodi kwa nchi ambayo wezi na wabadhilifu wa mali za umma wanaishia kuambiwa "stupid" na Mh Rais? China wezi wananyongwa na kesi haizidi mwezi mmoja.
 
Back
Top Bottom