Nimekuorodheshea vitu vingi kule juu. Kuna biashara ya online ya bilions ya hela na watu wanapata hela lakin hawalipi kodi. Kuna watu wanalima na wanapiga hela na hawalipi kodi kuna watu wanafuga na wanapiga hela wengi hawalipi kodi. Nachosema tabia zetu watz hatupend kulipa kodi lakin tunapenda kujilinganisha na maendeleo ya wenzetu ambao raia wao by nature wanapenda kulipa kodi wenyewe bila kuambiwa. Kama tunataka kuwa kama wenzetu lazima tujishughulishe na tupende wenyewe kulipa kodi. Ukilipa Kodi kwa wingi mnaweza kuwa na uchungu kwa wingi pindi zikipigwa so that mtaandamna kudai hela yenu.