Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Zinachezewa kweli lakin ukiangalia kwa mwaka ni walipa kodi wangapi wameongezeka utakuja kukuta ni wale wale miaka yote. So watu wengi hawalipi kodi kabisa na hata wachache wanakwepa huo ndio ukweli mkuu. Tungekuwa hata tunalipa kodi watu milion 20 nchi ingekuwa mbali sasa unakuta wanalipa only Milion 5 miaka yote.
 
Sheria kali na mguu wa shingo mguu wa roho ndio vimewafikisha hapo ,China hata uwe nani ukizingua kunyongwa ndio adhabu ndogo kuliko zote
Msiniulize hizo kubwa kubwa ni zipišŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Na yetu haipo kwenye ubora unaolingana na hizo , hizo zinaenda kasi zaidi
 
Zinachezewa kweli lakin ukiangalia kwa mwaka ni walipa kodi wangapi wameongezeka utakuja kukuta ni wale wale miaka yote. So watu wengi hawalipi kodi kabisa na hata wachache wanakwepa huo ndio ukweli mkuu. Tungekuwa hata tunalipa kodi watu milion 20 nchi ingekuwa mbali sasa unakuta wanalipa only Milion 5 miaka yote.
Unamaanisha kodi ipi?

Corporation taxes au VAT?
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤔

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Watanzania tu wajinga wa kutupwa.

Tumeshindwa kuendesha hata mabasi ya mjini jwa ufanisi, tutaweza kuendesha reni kiufanisi?
.kwanza tukubali tu wajinga halafu tuchaguwe vipaumbele vyetu.
 
Unamaanisha kodi ipi?

Corporation taxes au VAT?
Mzee nimekutolea mfano mdogo. Hii nchi watu wanaolipa kodi hawazid milion 6 kati ya watu milion 60. Na ni kodi zote. Hazilipwi. na wale wanaolipa hawalipi kikamilifu na wenyewe wanakwepa na hao wanaokusanya na wenyewe wanapiga so hii nchi maendeleo tutayaona kwa wenzetu tu. Labda mmoja mmoja uendelee. Wenzetu wanadisplin ya kulipa kodi na wanajua wao ndio wanajukum la kujiendeleza nchi yao. Niliwah kumgonda demu mmoja katika nchi za Scandinavia hela niliyompa alienda kulipia kodi. So unaona kabisa huyu akiandamana anadai alichotoa. Sasa hapa watu hawajui serikali ni mtoto yatima anaetakiwa kulishwa muda wote ili anenepe kila mtu anafikiri serikali inazalisha hela.
 
Labda hizo unazoelezea ni "direct taxation" ukweli ni kuwa hakuna Mtanzania asiyelipa kodi "indirectly".
 
Back
Top Bottom