Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

World's longest high-speed rail networks 🚆 :

🇨🇳 China: 40,474km
🇪🇸 Spain: 3,661km
🇯🇵 Japan: 3,081km
🇫🇷 France: 2,735km
🇩🇪 Germany: 1,571km
🇫🇮 Finland: 1,120km
🇹🇷 Turkey: 1,052km
🇮🇹 Italy: 921km
🇰🇷 South Korea: 873km
🇸🇪 Sweden: 860km
🇺🇸 USA: 735km
🇸🇦 Saudi Arabia: 449km
Duuh! Hatari sana sisi hatupo kabisa level hizi

Inahuzunisha
 
Ndugu mtoa post kwanza unakosea sana kulinganisha tz ma china kwa miundo mbinu. Hawa ni first class, wanambana na mataifa makubwa kiuchumi sahizi. Kuhusu relintz ndio kwanza inaanza, taratibu , china hawakuanza na nyingi taratibu mpaka wamefika hapo

Pia population yao ina demand wawe na miundo mbinu ya kutosha
Ila sisi zetu tunaziua wenyewe refer reli ya kati na Tazara.

Unaona hii mpya itatoboa kweli ?
 
Mchina ni mkongwe ana historia kubwa, hii ya kwamba tulikua uchumi unalingana mimi nasema alipitia kipindi kigumu akafight kurudi kwenye level zake, sisi hata kupata historia yetu tu ya miaka ya zamani huko 1300 na kurudi nyuma ni tabu,
Kweli aiseeh
 
Unaongelea nchi yenye 1.42+ billion people, ushawahi jiuliza wako bize kiasi gani..?? Ushawah jiuliza muingiliano wa majiji yao (ingia toka) upo bize kiasi gani..??

Ukipata jibu ndio utajua kwanini wanamiliki madude yote hayo
Kwa hiyo sisi hatuna uharaka tupambane tu na hali zetu ?
 
Uhakika

Hapo ndege za ndani zipo za kutisha, mabasi kama daladala ya kutosha.

Halafu na machatu ndio kama utitiri huo wapo serious sana sisi tunacheza kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KIMOJA wanaalikwa mapadre na masheikh wafunge maombi[emoji16][emoji16][emoji16] tunauongozi wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom