Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Badoo ujasemà
downloadfile.jpg
 
Nchi iliyo na majizi wanaodanganya wananchi ndio utaona hata wakijenga Choo gari 100 zitafuatana huku billion zimepigwa

Mbona nchi zilizoendelea huoni wakionyesha train moja?
Barabara zinajengwa sisi tunaona diversion tu au kufungwa baadhi ya lanes lakini huoni inafunguliwa na Rais
Kwanini wanawaona wajinga hivyo
 
Umeona machatu hayo lakini ?

Ndio utafananisha na kamjusi ketu ndio tuseme hawa tulikuwa nao sawa ?
Mabwege walikua wanatupiga kamba kwa kua hakukua na internet zama hizo. Watu walikuja kutujengea reli halafu waseme tulikua nao sawa. Akili ya wapi hii? Sisi wakujilinganisha nao labda Cambodia kwa kipindi hicho 😃
 
World's longest high-speed rail networks 🚆 :

🇨🇳 China: 40,474km
🇪🇸 Spain: 3,661km
🇯🇵 Japan: 3,081km
🇫🇷 France: 2,735km
🇩🇪 Germany: 1,571km
🇫🇮 Finland: 1,120km
🇹🇷 Turkey: 1,052km
🇮🇹 Italy: 921km
🇰🇷 South Korea: 873km
🇸🇪 Sweden: 860km
🇺🇸 USA: 735km
🇸🇦 Saudi Arabia: 449km
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Tena kinyoka chenyewe tumeuziwa cha mtumba! Yaani kilikuwa tayari ni screpa kilichotumika miaka ya 47 huko! Wahuni wakaenda kutuletea kwa bei kama ile ya kinyoka kipya!

Dah! Ila wahuni siyo watu wazuri! Kile kichwa ni cha kenge aisee! Kile siyo kichwa cha nyoka au mjusi.
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Ndugu mtoa post kwanza unakosea sana kulinganisha tz ma china kwa miundo mbinu. Hawa ni first class, wanambana na mataifa makubwa kiuchumi sahizi. Kuhusu relintz ndio kwanza inaanza, taratibu , china hawakuanza na nyingi taratibu mpaka wamefika hapo

Pia population yao ina demand wawe na miundo mbinu ya kutosha
 
Tena kinyoka chenyewe tumeuziwa cha mtumba! Yaani kilikuwa tayari ni screpa kilichotumika miaka ya 47 huko! Wahuni wakaenda kutuletea kwa bei kama ile ya kinyoka kipya!

Dah! Ila wahuni siyo watu wazuri! Kile kichwa ni cha kenge aisee! Kile siyo kichwa cha nyoka au mjusi.
Watu mna maneno ya shombo , eti tumeuziwa mtumba 😂😂, wabongo hata mngeletewa treni ya mbinguni bado mngeikosoa tu
 
Hapo machatu yamelala baada ya mihangaiko ya siku nzima.

Daah hawa macho madogo shikamoo.

Halafu hawa ndio tunaambiwa tulikuwa nao uchumi mmoja miaka ya sitini🤡😎
Mchina ni mkongwe ana historia kubwa, hii ya kwamba tulikua uchumi unalingana mimi nasema alipitia kipindi kigumu akafight kurudi kwenye level zake, sisi hata kupata historia yetu tu ya miaka ya zamani huko 1300 na kurudi nyuma ni tabu,
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Unaongelea nchi yenye 1.42+ billion people, ushawahi jiuliza wako bize kiasi gani..?? Ushawah jiuliza muingiliano wa majiji yao (ingia toka) upo bize kiasi gani..??

Ukipata jibu ndio utajua kwanini wanamiliki madude yote hayo
 
Nchi iliyo na majizi wanaodanganya wananchi ndio utaona hata wakijenga Choo gari 100 zitafuatana huku billion zimepigwa

Mbona nchi zilizoendelea huoni wakionyesha train moja?
Barabara zinajengwa sisi tunaona diversion tu au kufungwa baadhi ya lanes lakini huoni inafunguliwa na Rais
Kwanini wanawaona wajinga hivyo
Sisi tuna maisha yetu ya ajabu ajabu
 
Mabwege walikua wanatupiga kamba kwa kua hakukua na internet zama hizo. Watu walikuja kutujengea reli halafu waseme tulikua nao sawa. Akili ya wapi hii? Sisi wakujilinganisha nao labda Cambodia kwa kipindi hicho 😃
Sisi hata teknolojia ya kufua vyuma vyetu mpaka leo hola halafu tulikuwa nao sawa hawa macho madogo kweli ilikuwa chai ile😃
 
Back
Top Bottom