Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hivi Dar Dom nonstop kimetumia muda gani? Nilisikia LUKU ya Mil 1.2hayo machatu ni bullet mkuu, ya mwendo hatar ya chini kabisa itakuwa over 200km/h, kinyoka chetu kinaenda 80km/h
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Dar Dom nonstop kimetumia muda gani? Nilisikia LUKU ya Mil 1.2hayo machatu ni bullet mkuu, ya mwendo hatar ya chini kabisa itakuwa over 200km/h, kinyoka chetu kinaenda 80km/h
Masaa 4Hivi Dar Dom nonstop kimetumia muda gani? Nilisikia LUKU ya Mil 1.2
Kama kweli sio mbaya. Inamaana ikianza kufanya kazi tutegemee itatumia masaa 6-8 kuzingatia mzigo, vituo, na uswahili.Masaa 4
hivi tulishindwa kwenda kununua hizo nyoka walatu 5 tu hata kama used? wakaamua walete yale mabehewa utafikiri yanabeba ng'ombe.Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Hawasemagi kitu. Utashangaa tu, Meya wa Manispaa ya Chongqing azindua daraja refu la kilometa 50.Alafu wabongo wakianzisha jambo wanaanzishaga kwa mbwembweee ,huko mbele sasa
Ova
Ndiyo maana Dkt Magufuli aliwahi sema hivi “tumechelewa sana”. Ila kuna kikundi kikaja kinasema hatuna uwezo lazima tukope kikaanza kutembeza bakuri huko na hukoDuuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
tena ukute hapo yanayonguruma ni kumi tu[emoji23]Sisi bado tunahangaika na makuku haya.View attachment 2972154
Huu mradi hauna tijaKama kweli sio mbaya. Inamaana ikianza kufanya kazi tutegemee itatumia masaa 6-8 kuzingatia mzigo, vituo, na uswahili.
Kwahiyo kufika Mwanza ni masaa 16 kama Bus tu.
Sasa mkuu sisi drone tu sheria kibao, tutaweza zuia kombora za maadui kweli?🤣🤣Kweli aiseeh
Pumba tupu umeandikatena ukute hapo yanayonguruma ni kumi tu[emoji23]
Cc; Lucas MwashambwaHuku kuna matumbo machache kazi yao ni kuimba, kusifu na kuabudu juhudi mfu za serikali ili tu yashibe na kuvimbiwa.
Noma sanaHapo zengine ni double, zimeunganishwa mara mbili
😂😂😂hivi Mwampo alikuwepo au alikuwa kuhani?Sisi kikija kichwa kinaombewa mapepo
Hatuna ubize kiasi hicho, vichwa vinne vinatoshaKwa hiyo sisi hatuna uharaka tupambane tu na hali zetu ?
Watz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumuDuuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Kwani kwa sasa uko huru mbona tunatawaliwa tuu kwa sera mbovi za uchumiHalafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Unaona kodi yetu inavyochezewa mkuuWatz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumu
Eti viongozi wa dini wanaitwa kuombea kisima. PumbavuuHawasemagi kitu. Utashangaa tu, Meya wa Manispaa ya Chongqing azindua daraja refu la kilometa 50.
Sisi kwetu, Rais, Waziri na Wabunge waenda shuhudia ufunguzi wa kisima cha pump ya mkono Songwe.