Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Ndiyo maana Dkt Magufuli aliwahi sema hivi “tumechelewa sana”. Ila kuna kikundi kikaja kinasema hatuna uwezo lazima tukope kikaanza kutembeza bakuri huko na huko
 
Nchi yako ikiwa hivi hata chachu ya kulipa kodi inakuwa juu sana, unashawiahika kulipa kodi kwa uaminifu as serikali inaonyesha nia ya dhati ya kuhudumia watu wake.

Huku kuna matumbo machache kazi yao ni kuimba, kusifu na kuabudu juhudi mfu za serikali ili tu yashibe na kuvimbiwa. Hatulipi kodi kwa uaminifu hata kidogo.
 
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Watz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumu
 
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Kwani kwa sasa uko huru mbona tunatawaliwa tuu kwa sera mbovi za uchumi
 
Watz tunatakiwa pia tunapolaum kila mtu ajiulize kwa mwaka amelipa kodi SHS ngapi. Hiv vitu vinahtaji hela kuvimiliki so ukiangalia kias cha kodi unacholipa ndio unaweza kuwa na sababu ya kulaumu
Unaona kodi yetu inavyochezewa mkuu

20240209_095750.jpg

20240209_095729.jpg
 
Hawasemagi kitu. Utashangaa tu, Meya wa Manispaa ya Chongqing azindua daraja refu la kilometa 50.

Sisi kwetu, Rais, Waziri na Wabunge waenda shuhudia ufunguzi wa kisima cha pump ya mkono Songwe.
Eti viongozi wa dini wanaitwa kuombea kisima. Pumbavuu
 
Back
Top Bottom