Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari kwamba simba imeshindwa kulipa mishahara miezi 2 kumbe ni wewe uliandika upupu kwenya gazeti huko sijui dimba lile

Sasa embu jitafakari basi, angalia jinsi ulivyo report hii habari ya simba kuingia mkataba wa ndani na Atcl halafu post nyingine unashangaa mkataba umekuwaje tena mkataba hauitimiizii simba kwenda Botswana, hujui kwamba Botswan siyo ndani ya nchi hii?

Screen Shot 2021-10-14 at 12.19.39.png
 
Huwa anakurupuka sana kuongea vitu ambavyo havijui siku hizi ukijua tu position za wachezaji uwanjani unakuwa mchambuzi kama yule Prisca anajua nini zaidi ya kundandia vitu kwa juu, na sio yeye tu wapo wengi sana wamejificha kwenye kichaka cha wachambuzi.
 
Huwa anakurupuka sana kuongea vitu ambavyo havijui siku hizi ukijua tu position za wachezaji uwanjani unakuwa mchambuzi kama yule Prisca anajua zaidi ya kundandia vitu kwa juu, na sio yeye tu wapo wengi sana wamejificha kwenye kichaka cha wachambuzi.
lakini nafikiri Prisca yeye hachambui ni kama ana control kipindi na kutoa nafasi kwa wengien kuchambua ni kama Tunu pale Efm
 
Sasa embu jitafakari basi, angalia jinsi ulivyo report hii habari ya simba kuingia mkataba wa ndani na Atcl halafu post nyingine unashangaa mkataba umekuwaje tena mkataba hauitimiizii simba kwenda Botswana, hujui kwamba Botswan siyo ndani ya nchi hii?
Makolo bhana.

Msikimlize huyu jamaa anasemaje kuhusu huo mkataba

Yaani mmeshaiga uongo uongo wa Mwamedi
 
Back
Top Bottom