Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Kwanza changamoto za usafiri wa ndege huwa ni kwa safari za nje ya nchi ambako shirika halina ndege inayoenda katika nchi hiyo,
Na usafiri wa ndege kwa ndani ya nchi hakuna changamoto ya namna hiyo kwasababu nowdays ndege zinatua katika viwanja vingi huko mikoani
Kwa kutambua changamoto hiyo timu ya simba kwanini iliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndani ambazo hakuna changamoto na kuziacha safari za nje zenye changamoto kibao
Mtu mwenye akili timamu ninahoji kuna umuhimu gani wa simba kuingia mkataba huo na ATCL na wakati safari za nje zinawasumbua?