Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

Kwanza changamoto za usafiri wa ndege huwa ni kwa safari za nje ya nchi ambako shirika halina ndege inayoenda katika nchi hiyo,

Na usafiri wa ndege kwa ndani ya nchi hakuna changamoto ya namna hiyo kwasababu nowdays ndege zinatua katika viwanja vingi huko mikoani

Kwa kutambua changamoto hiyo timu ya simba kwanini iliingia mkataba na ATCL kwa safari za ndani ambazo hakuna changamoto na kuziacha safari za nje zenye changamoto kibao

Mtu mwenye akili timamu ninahoji kuna umuhimu gani wa simba kuingia mkataba huo na ATCL na wakati safari za nje zinawasumbua?
 
Safari za nje zinawasumbua? Wanacheza jumapili Jumatatu usiku wanaondoka Jumanne tarehe 19 wanapumzika, unataka tarehe 20 wacheze na polisi
 
Safari za nje zinawasumbua? Wanacheza jumapili Jumatatu usiku wanaondoka Jumanne tarehe 19 wanapumzika, unataka tarehe 20 wacheze na polisi
Usafiri wa ndege sio kama mabus mkuu, Game inaisha tar 17, hiyo jioni wanapanda ndege na kabla hapajakucha wanakuwa wamefika Tz, Tar 18,19 na Tar 20 wanacheza mechi yao na Polisi

Rejea Safari ya Taifa Stars kutoka Benin na Yanga kutoka Nigeria ambao walikodi ndege za Air tanzania
 
Hao vijana wamekosa ajira ndio maana wako kwenye hayo mambo wanayoyaita uchambuz
Sahihi Mkuu,Privaldinho sio Mchambuzi wa mpira wala sio Mwandishi ni tatizo la vijana kukosa ajira..

Kuna siku moja katikati ya kipindi alianza kuwasimulia akina Alex na Edgar maisha yake ya Chuo nikajiuliza anawaona wenzake wameishia Form Two B nini.
 
Na kuna yule Boya wa"What a game?"
"What a goal?","What a match?"....sijui anaitwa nani.

Yaani anajikutaga wa mbele kinyama.
 
Hizo za ndege kwa hapa Africa ni changamoto ,unaweza ukakuta wakitoka Botswana transit ni mpaka Ethiopia
 
Kale Kamtu nikapumbavu Kweli kweli
Kanapenda Kujiona Kapo juu kajuaji
na Misifa ya kujiona ndio Kenye Data za ndani kumbe Ugolo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…