Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

Joined
Dec 20, 2016
Posts
96
Reaction score
115
Kwema wana jf taifa kubwa
Naitwa makolelo
Mkazi wa dar
Elimu diploma

Uzoefu
Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja
Shop manager fashion shop
Revenue collector municipal
Cashier
Site foremen supervising 10 labour

Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki kinaniumiza
Napatikana dsm
Contact 0657710078
 
Back
Top Bottom