Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

Inashangaza mpaka leo shule za msingi za serikali wanafundishia kiswahili ili hali viongozi watoto wao wanawapeleka shule za English
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…