Angalia US Presidential Debate 2020

Angalia US Presidential Debate 2020

Dah! afadhali ya Trump, Magu hata kwenye debate hathubutu kufika.
Kwa utaratibu ninaouona hapa, naelewa kwanini Magu hataki mjadala na Lissu.

Hata kama akipangwa na Hashim Rungwe kwa hali hii lazima arushe ngumi tu!

Trump mwenyewe naona anajikaza kisabuni tu, ila angekuwa kwenye shithole country angerusha kavu hata moja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee baba angechimba mikwara kichiz. Angerudia yale mambo yake ya,
"Watch it".
 
Wote wamevurunda sana kwa sababu hawakutoa mwelekeo wao wa kuiongoza Merakani kwenda kwenye mafanikio. Ila Biden ameonyesha weakeness zaidi kwa kusindiwa kumshambulia Trump ambaye nia yake ilikuwa ni kuonyesha umwamba tu bila kuonyesha substance yoyote.
 
Back
Top Bottom