GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Mkuu mbona umejibu Kiutetezi sana vipi Shemeji yetu ana VIDOLE VILIVYOTANUKA nini? Pole sana.Ilikuwa zamani..
Dunia ya sasa wote wako kundi moja..
Mwanamke ni mwanamke tu..
Toka lini umeamua kuwa mganga wa kienyeji au ndo life gumuVikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7
Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7
Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Naona wale wenye VIDOLE VILIVYOTANUKA wameamua kuja kwa Kasi, kwa Hasira na kutokubaliana na UTAFITI wa KIUTAMADUNI.Hakuna kitu kama hicho pole sana mtoa mada
Naona wale wenye VIDOLE VILIVYOTANUKA wameamua kuja kwa Kasi, kwa Hasira na kutokubaliana na UTAFITI wa KIUTAMADUNI.Mwanamke ni mmoja tu hakuna utofauti.
Mpuuzi wewe Yaan unafikiri vitu visivyo na mantikiVikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7
Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7
Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Sasa unataka kubisha...hivi hakili za wanawake unazijua vizuri mkuu.Naona wale wenye VIDOLE VILIVYOTANUKA wameamua kuja kwa Kasi, kwa Hasira na kutokubaliana na UTAFITI wa KIUTAMADUNI.
Hivi ni Hakili kama ulivyoandika hapa au ni Akili kama inavyotakiwa kuwa?Sasa unataka kubisha...hivi hakili za wanawake unazijua vizuri mkuu.
Nazani umeelewa?Hivi ni Hakili kama ulivyoandika hapa au ni Akili kama inavyotakiwa kuwa?
Hivi ni Nazani kama ulivyoandika au ni Nadhani kama ambavyo inatakiwa kuwa?Nazani umeelewa?
Kuna shida unae kwenye kichwa chako.Hivi ni Nazani kama ulivyoandika au ni Nadhani kama ambavyo inatakiwa kuwa?
Kama aliyonayo Mama yako Mzazi katika Kichwa chake bapa.Kuna shida unae kwenye kichwa chako.
MUNGU AKUBARIKI.Kama aliyonayo Mama yako Mzazi katika Kichwa chake bapa.
Ila mkichemka mnakomaVikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......
Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7