Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

Akili Yako ndio inskuchukia mwenyewe, maana mada za kijinga ni ndivyo ulivyo!
Akili yangu Kubwa ndiyo imekufanya Mpumbavu Mmoja Wewe uhangaike hivi nami wakati unajua wala sijakulazimisha Usome Mada yangu hii au na nyinginezo.
 
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7

Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7

Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Vidole na mahusiano ya kimapenzi vinahusiana Nini??? Ungesema uboo n kinembe saw ila sio kw vidole hapo umebugi
 
Akili yangu Kubwa ndiyo imekufanya Mpumbavu Mmoja Wewe uhangaike hivi nami wakati unajua wala sijakulazimisha Usome Mada yangu hii au na nyinginezo.
Tunazisoma ili tupate idadi ya watu vichaa(1)you, tayari sikusome Tena na sikujibu,ngoja BAN.
 
Back
Top Bottom