Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7

Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7

Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Bonge la dada vyako vikoje ..
 
Kati ya wewe na huyu mwingine anayesema kwamba mwanamke mwenye vidole vilivyotawanyika kati ya kidole kikubwa na chapiliyake vikitawanyika hakikisha una Bomba kwelikweli mana sikwahole hilo nani mkweli
 
Chagua mwenyewe Mkweli kati yao / yetu.
 
M
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba.......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7

Vikiwa vimebanana (huoni uwazi wowote ule mkubwa baina ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba......

Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye UTADUMU nae, WA KWAKO PEKE YAKO, MTULIVU na ATAKUPENDA 24/7

Wale Wazee (hasa Watu Wazima) nina uhakika 100% hapa watakuwa WAMENIELEWA vyema na Kushukuru kuliweka wazi.
Mie demu wangu katulia sna, nimecheki na vidole ss hivi naona vimebanana.
 
Nasikia kwa ke Vilivyotanuka uke umetanuka vilivyobana umebana . virefu uke mrefu vifupi uke mfupi.

kwa mwanaume virefu uume mrefu vifupi uume mfupi

vinene uume mnene vyembamba mwembamba
Picha za hizo k kwa faida ya members...
 
Back
Top Bottom