Angalia vidole vya Mguuni vya ama mpenzi wako vikiwa kama nitakavyoelezea Furahi

We jamaa utakuwa mshirikina sana,mada zako ni za kijinga,mjinga any time mtu wa kulialia,Be a Man.
 
Kwahiyo kwakuwa Basha wako na Baba yako Mzazi wote ni Walinzi basi unadhani kila Mtu ni Mlinzi tu.
Kwani ulinzi sio kazi?Acha kujipa ukuu wakati hamna kitu,kucha mada za kijinga tuu,hakuna mwenye uwezo wa kupanga azaliweje,ni Mungu tuu anapanga,punguza ujuaji,Tutapata heshima.
 
We jamaa utakuwa mshirikina sana,mada zako ni za kijinga,mjinga any time mtu wa kulialia,Be a Man.
Hujakosea kuwa Mimi ni Mshirikina na sishangai ndiyo maana hata Mama yako Mzazi ananikubali zaidi ya Baba yako Mzazi.
 
Kwani ulinzi sio kazi?Acha kujipa ukuu wakati hamna kitu,kucha mada za kijinga tuu,hakuna mwenye uwezo wa kupanga azaliweje,ni Mungu tuu anapanga,punguza ujuaji,Tutapata heshima.
Mbona sasa hivi unaanza kuwa Mpole hata Maandishi yako tu hapa yanasadifu? Naona Dozi zangu zimeanza Kukunyoosha.
 
Acheni majungu bhana na nyie
 
Huyu jamaa mtu wa sifa za kijinga na mada zake ni wa kumpuuza!
Hizi / Hizo Sifa zangu za Kijinga ndizo zimemfanya hadi Aliyekuzaa Fankulo Punguwani Wahed Wewe kanikubali na Kunitunuku.
 
Umetumia sample ya wapi mkuu? Au ni swala la familia yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…