Angalia wenzetu walivyo mbali

Sio laana ni vilaza!!!
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Kwan wameacha kuua lini. Au umeshasahau ya Mwangosi na Arusha?
 
Hivi Jaji ndo mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi. Ngiri wengine wamezidi kuwa mizigi dah
 
Wenyewe wanaunga Tela tu. Hawajali uelekeo na hawahoji wala kushauri
 
Sisi tunategemea busara za rais na nafasi za kuteuana then wadanganyika wanasubiri maendeleo, tunachekesha sana
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Uzuri wa wanaccm na viongozi wao ni uhodari wao wa kucopy na kupaste mabaya tu ili kuendelea kuwafanya wadanganyika mazuzu.Hongera lizaboni
 
Hapo ni ishu ya katiba tu..Kenya walibadilisha katiba wakafika hapo. Kwa sisi Raisi ana mamlaka ya kuteua watu kwenye vyeo vingi sana. Kenya hata kwenye uwaziri nadhan nafasi zinatangazwa kama sijakosea.
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Labda wangefanya Rwanda ndio sisi tuige!
Kwa Kenya kwa kweli si kitu kizuri!
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?

Mkuu naona ungetuambia ubaya wa mfumo huo hadi umeupinga, lakini kuzungumzia polisi wa Kenya wanauwa raia makusudi si kweli na pia hata polisi wa hapa tz mbona wanaua mauaji ya pemba, wale wafanyabiashara wa zombe na nk
 
Sio lazima tuige kila kitu but kama jambo ni zuri tunaiga mkuu
Lizaboni!!
Uzuri hilo jambo/ utaratibu wa kuomba hio kazi ya jaji mkuu ni upi? Ila napenda kufahamu hao waombaji 800 nani aliwachuja hadi wakabaki hao 6?
 
Huku ni sandakalawe kwa makada wa CCM na kesho kutwa usishangae jaji akigombea nafasi ya urais ndani ya chama, ie Jaji Ramadhani
 
Huu utakuwa mwandiko wa Barbarosa
 
Mkuu inaonekana wewe ni muumini wa vyeo vya kulipana fadhila,uwezekano wa kuondokana na upendeleo kwa upande mmoja na kupata competent person ni mkubwa kupitia watu kufanya interviews kuliko hii ya kwetu ya kutegemea busara za MTU mmoja na kwa vigezo anavyojua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…