Angalia Zelensky Alivyonywea

Angalia Zelensky Alivyonywea

Msela Wa Kitaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2021
Posts
1,396
Reaction score
2,704

Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake

Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu

Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao

Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
 
Gk5EaJUXYAABUV9.jpg
 
View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake

Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu

Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao

Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.

ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
 
Zelensky anategemea kila kitu kwenye kupigana kwake kutoka USA. Satellite ya kijeshi hana anategemea ya Elon Musk.Wakimkatia msaada wiki 2 hamna kitu atakachofanya zaidi nchi yake itamegwa zaidi.

Control room inaendeshwa kwa msaada wa NATO. Ukraine haina silaha haina satellite ya kijeshi kufuatilia mwenendo wa adui yake na kuelekezea mashambulizi kwa adui wake. Kibaya zaidi hana wanajeshi, mamluki kutoka nchi za NATO ndiyo wanamsaidia.

Kubishana na Trump ni kuleta maangamizi kwenye nchi yake na wala haimeletei sifa. Sasa akubali moja, Putin akubali kuimega nchi yake au aingie dili na USA?
 
Huyu Medvedev ana mimaneno ya shombo aisee!
Russia's Medvedev:

"A brutal dressing-down in the Oval Office. For the first time, Trump told the cocaine clown the truth to his face: the Kyiv regime is playing with World War III.

And the ungrateful pig got a well-deserved slap from its masters.

This is good, but not enough—we must stop military aid to the Nazi war machine."
 
kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.

ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
A well and objective analysis.
 
Maoni ya Waafrika yanashangaza. Zelenskyy angeongea kinyonge na kukubali kila dharau aliyofanyiwa yeye na nchi yake na kusisitiza maombi ya msaada wa Marekani, comment za kumdharau zingejaa hapa JF hasa kwa wengi wanaoichukia Marekani, NATO na Ukraine yenyewe.

Sasa kajitutumua mbele ya Trump na media yake, bado anachekwa na kuitwa mjinga, hana akili, eti kadharaulishwa sana! Wengi hawajafuatilia kwa umakini kampeni mbaya ya Trump na mawaziri wake dhidi ya Ukraine waliyofanya tangu wiki iliyopita kule Ulaya na Saudi Arabia wakishirikiana na Urusi na katika mazungumzo ya simu kati ya Trump na Putin.

Putin inajulikana madai yake ya msingi tangu aingie madarakani 1999 ni kuwa Ukraine ni sehemu halali ya Urusi iliyojitenga kwa makosa ya kihistoria. Na kwamba njama za mabeberu zinataka kutenganisha kabisa undugu ulioko kati ya watu wa Ukraine na Urusi. Trump anafahamu habari hiyo. Ndio maana amekuwa akimkumbusha Zelenskyy kuwa akileta ujinga atajikuta hana nchi. AU siku moja Ukraine itakuwa Jimbo la Urusi.

Neither way, Zelenskyy can win. Hakuna Zelenskyy atakachofanya aonekane wa maana. Leo kaonyesha kukata tamaa kabisa na kuamua kusema ovyo. Bila shaka, ili yawepo angalau maelewano hata ya kubabaisha kati ya Ukraine na USA, itabidi Zelenskky ajiuzulu apishe Rais mwingine atakeyebeba zigo la kukabiliana na US na Putin. Sidhani kama Trump atataka tena kukutana na Zelenskyy.

Mashabiki wa miamba "strongmen" hasa Putin, roho zao zinazidi kuwa kwatu. Jeuri aliyoonyesha Zelenskyy miaka mitatu itakuwa imefutiliwa mbali! Kwamba sasa Putin atazidi kufanikiwa!

Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?

Hii ni hulka ya namna gani? Kama vile naanza sasa kuelewa ilikuwaje Waafrika wakazolewa utumwani kwa maelfu bila resistance ya maana.

Trump: "If you didn't have our equipment this war would have been over in three weeks".

Zelenskyy: "In three days, I heard it from Putin, in three days".

Such insolence!
 
kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.

ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
HAKUNA ATAMAYEMUUA ZELENKIY TAFUTA HISTORIA YAKE UTAJUA KAMA KUFA ANGEKUFA KITAMBO HUMU WATU WASIOJIELEWA WANATEYE upumbavu ZELE ALIALIKWA HUWEZI MUALLIKA MGENI KISHA UNSMTUKANA KUMUWEKA CHINI US PIA THEY NEED HIM WANAHITAJI RARE EARTH BIT HUWEZI KUHITAJI KITU BY BLACKMAILING SOMEONE
 
Back
Top Bottom