View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake
Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu
Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao
Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Ifike mahali tuanze kumwomba Mungu maombi na utaratibu usiofaa kwa wanadamu wachache, ila itakuwa dawa ya kupona kwa wengi
Mungu aruhusu fimbo ya mauti iwakute wote waliojivika umamlaka ya ndani ya kujipea nchi yetu na maliasili za nchi yetu
Wamejipea thamani zote za nchi yetu, na wao ndio hukaa kupitisha kwamba, wengine itufae nini ili tuishi
Vinono vyote wamechukua wao tu na familia zao kana kwamba, wao walikuwepo na walikubaliana na Muumbaji kuvichukua hivyo vinono vya nchi na wengine tuwe walamba miguu wao
Mungu, kwa niaba ya wengi, masikini wa nchi hii, waliofukarishwa kiulazima na hao majambazi wa nchi hii,
Wanaoonewa kulipishwa kodi zisizo na miguu wala mikia na hayo maendeleo yatokanayo na kodi zao hayarudi kwao, Mungu wa haki, unayetawala vyote, Mungu wa masikini na matajiri,
Mungu, twakuomba uondoe hao waliojimilikisha utajiri wa nchi yetu
Kumbuka, wewe ndiye Mungu wetu, na kwa sisi watanzania, tunapohitaji jambo lolote, tunapodhulumiwa, tunaponyanyaswa, huwa hatuchukui sheria mkononi, mara zote huinua nyuso zetu kwako kukusihi wewe, Ingilia kati Ee Bwana wa Vita
Komesha kabisa uonezi huu kwa jina lako tukufu, wachukue wote hao wadhulumaji wa nchi hii, kila mwenye pumzi aseme Amina